Kiron (pia Kichala) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Waron. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiron imehesabiwa kuwa watu 115,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiron iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiron kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.