Kirsty Hanson

Mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha soka cha Uskoti (aliyezaliwa 1998)

Kirsty Hanson (alizaliwa 17 Aprili 1998) [1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza, ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Uingereza (WSL) na timu ya taifa ya Uskoti.[2]

Hanson akiwa Manchester United mnamo 2018

Marejeo

hariri
  1. "Leeds Beckett student signs for Doncaster Rovers Belles". web.archive.org. 2019-06-05. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-05. Iliwekwa mnamo 2024-04-25. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. "Aston Villa beat Brighton in shootout to reach semis", BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2024-04-25
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirsty Hanson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.