Kirsty Smith (alizaliwa 6 Januar 1994)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uskoti ambaye anacheza kama beki wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uskoti.[2]

Smith akichezea Manchester United mnamo 2018

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2019-07-08. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-28. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirsty Smith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.