Kisaafi-Saafi
Kisaafi-Saafi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Waserer. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisaafi-Saafi imehesabiwa kuwa watu 114,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisaafi-Saafi iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kisaafi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisaafi
- lugha ya Kisaafi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/sav
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisaafi-Saafi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |