Kisaisiyat ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan inayozungumzwa na Wasaisiyat. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kisaisiyat imehesabiwa kuwa watu 4750. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisaisiyat iko katika kundi la Kiformosa-Kaskazini-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisaisiyat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.