Kisamba Daka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wasamba. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisamba Daka imehesabiwa kuwa watu 107,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamba Daka iko katika kundi la Kidakoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisamba Daka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.