Kisamburu ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Kenya inayozungumzwa na Wasamburu. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kisamburu imehesabiwa kuwa watu 237,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamburu iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisamburu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.