Kisanga (Nigeria)

Kisanga ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wasanga. Isichanganywe na lugha ya Kisanga inayozungumzwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisanga imehesabiwa kuwa watu 20,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisanga iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisanga (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.