Kisausi ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasausi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisausi imehesabiwa kuwa watu 93 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisausi iko katika kundi la Kimadang.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisausi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.