Kiseke ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Waseke. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiseke imehesabiwa kuwa watu 700. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiseke iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiseke (Nepal) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.