Kiseke ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waseke kwenye kisiwa cha Pentecost. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiseke imehesabiwa kuwa watu 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiseke iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiseke (Vanuatu) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.