Kisekpele ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wasekpele. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kisekpele imehesabiwa kuwa watu 23,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisekpele iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisekpele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.