Kishall-Zwall ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Washall na Wazwall. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kishall-Zwall imehesabiwa kuwa watu 8900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishall-Zwall iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishall-Zwall kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.