Kishamang

Kishamang ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Washamang. Idadi ya wasemaji wa Kishamang haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kshamangi iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishamang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.