Kishau ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Washau. Idadi ya wasemaji wa Kishau haijulikani. Hata hivyo kuna wasemaji wachache mno mpaka lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishau iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.