Kishilluk

Kishilluk ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Washilluk. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kishilluk imehesabiwa kuwa watu 175,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishilluk iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishilluk kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.