Kishoo-Minda-Nye ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Washoo, Waminda na Wanye. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kishoo-Minda-Nye imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishoo-Minda-Nye iko katika kundi la Kijukunoidi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishoo-Minda-Nye kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.