Kisiwa cha Bugala ni jina la viwili kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Kalangala).

Vinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri