Kisiwa cha Nambewa
Kisiwa cha Nambewa ni kati ya visiwa vya Uganda (Mkoa wa Mashariki, Wilaya ya Namayingo).
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa wa eneo.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Nambewa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |