Mkoa wa Mashariki (Uganda)

Mkoa wa Mashariki (kwa Kiingereza: Eastern Region) ni kati ya mikoa minne ya Uganda.

Ramani.
Wilaya za Uganda; mkoa wa Mashariki una rangi ya kijani.

Kwa sasa linaundwa na wilaya 32.

Makao makuu yako Jinja.

Wakazi ni 9,042,422.

Marejeo hariri