Kisiwa cha Salas y Gomez
Kisiwa cha Salas y Gomez kiko katika bahari ya Pasifiki na ni sehemu ya Jamhuri ya Chile.
Kina eneo la kilometa mraba 0.15 na hakina wakazi.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|