Kisomba-Siawari (pia Kiburum au Kimindik) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasomba na Wasiawari. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisomba-Siawari imehesabiwa kuwa watu 9000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisomba-Siawari iko katika kundi la Kihuon.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisomba-Siawari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.