Kisubanen ya Kusini (pia Kilapuyen) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wasubanen. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kisubanen ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisubanen ya Kusini iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisubanen-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.