Kisubanen-Magharibi

Kisubanen ya Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wasubanen. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kisubanen ya Magharibi imehesabiwa kuwa watu 125,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisubanen ya Magharibi iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisubanen-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.