Kisulka ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasulka. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kisulka imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisulka haihusiani na lugha nyingine.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisulka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.