Kisusuami
lugha ya papua ilyokaribia kutoweka
Kisusuami ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasusuami. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisusuami imehesabiwa kuwa watu kumi tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisusuami iko katika kundi la Kiangan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kisusuami kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisusuami
- lugha ya Kisusuami katika Glottolog
- lugha ya Kisusuami kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisusuami kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |