Kit'en (au Kithen) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wabouyei. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kit'en imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kit'en iko katika kundi la Kikam-Sui.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kit'en kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.