Kitachoni (au Lutachoni) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Watachoni, kabila moja la Waluhya. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kitachoni imehesabiwa kuwa watu 253,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitachoni iko katika kundi la E30.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitachoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.