Kitai-Ya ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina na Uthai inayozungumzwa na Watai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitai-Ya nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 50,000. Pia kuna wasemaji 400 nchini Uthai (2008). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitai-Ya iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitai-Ya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.