Kitamang-Kaskazini-Magharibi

Kitamang ya Kaskazini-Magharibi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Watamang. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kitamang ya Kaskazini-Magharibi nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 55,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitamang ya Kaskazini-Magharibi iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitamang-Kaskazini-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.