Kimalagasy cha Tanosy

(Elekezwa kutoka Kitanosy)

Kimalagasy ya Tanosy ni lugha ya Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimalagasy ya Tanosy imehesabiwa kuwa watu 510,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalagasy ya Tanosy iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalagasy cha Tanosy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.