Kitarok
Kitarok (pia Kiyergam) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Watarok. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitarok imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitarok iko katika kundi la Plateau.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitarok kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitarok
- lugha ya Kitarok katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/yer
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitarok kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |