Kitaupota ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wataupota. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitaupota imehesabiwa kuwa watu 1280. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitaupota iko katika kundi la Kioseaniki. Wataalamu wengine huangalia lugha za Kiwa'ema na Kiwedau kuwa lahaja za Kitaupota.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitaupota kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.