Kitchumbuli ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Watchumbuli. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitchumbuli imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitchumbuli iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitchumbuli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.