Kitese ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Watese. Mwaka wa 1971 idadi ya wasemaji wa Kitese imehesabiwa kuwa watu 1400 lakini wengi walikuwa wameanza kutumia lugha nyingine kwa hiyo Kitese iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitese iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitese kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.