Kitiale ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Watiale kwenye kisiwa cha Santo. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitiale imehesabiwa kuwa watu 400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitiale iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitiale kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.