Kitobo ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Watobo. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kitobo imehesabiwa kuwa watu 2230. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitobo iko katika kundi la Kihuon.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitobo (Papua) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.