Kitorau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Watorau. Mwaka wa 1963 idadi ya wasemaji wa Kitorau imehesabiwa kuwa watu 600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitorau iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitorau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.