Kitorona ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Watorona. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kitorona imehesabiwa kuwa watu wawili tu, yaani lugha hiyo itatoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitorona iko katika kundi la Kikordofani.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitorona kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.