Kitujia cha Kaskazini

Kitujia ya Kaskazini ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Watujia. Ingawa kuna Watujia zaidi ya watu milioni nane (sensa ya mwaka wa 2000), mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kitujia ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 70,000, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kwa jumla Watujia huongea Kichina ya Mandarin kama lugha yao ya kwanza badala ya Kitujia ya Kaskazini au ya Kusini. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitujia ya Kaskazini iko katika kundi lake lenyewe la Kitujia.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitujia cha Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.