Kitulishi ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Watulishi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitulishi imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitulishi iko katika kundi la Kikadugli-Krongo.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitulishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.