Kitumtum ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Watumtum. Idadi ya wasemaji wa Kitumtum imehesabiwa kuwa watu 7300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitumtum iko katika kundi la Kikadugli-Krongo.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitumtum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.