Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere ni ukumbi wa mikutano wa kisasa mjini Dar es Salaam nchini Tanzania.
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere English: Julius Nyerere International Convention Centre | |
---|---|
Anuani | Mtaa wa Shaaban Robert |
Mahali | Dar es Salaam, Tanzania |
Anwani ya kijiografia | 6°48′39″S 39°17′31″E / 6.81083°S 39.29194°E |
Mmiliki | Serikali ya Tanzania |
Opareta | Wizara ya Mambo ya nje |
Kilijengwa | 2010–2012 |
Kilizinduliwa | 25 Machi 2013 |
Gharama za ujenzi | US$ 15 milioni |
Uwezo | |
Kukalia Ukumbi | 1,003 |
Eneo la ndani | |
Jumla ya eneo | hekta 2.5 (ekari 6.2) |
Kituo kina nafasi kwa mikutano hadi wajumbe 1003. Kwa jumla kuna vyumba na kumbi za mikutano 12.
Kiutawala kituo hiki ni tawi la AICC (Arusha International Conference Center).
Viungo vya Nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 19 Januari 2017 kwenye Wayback Machine.