Kituo cha reli cha Beira

Kituo cha reli cha Beira, ndicho kituo kikuu cha reli na alama muhimu ya huko Beira, Msumbiji .

Kituo cha treni cha Beira,Msumbiji

Kituo cha reli ya kisasa ni sehemu ya urithi wa ukoloni wa Ureno nchini Msumbiji . Ilijengwa kati ya mwaka 1958 na 1966 na wasanifu watatu ambao ni João Garizo de Carmo, Paulo de Melo Sampaio na Francisco José Castro. [1]

Marejeo hariri

  1. Magalhães, Ana. "Railway Station Beira, Sofala, Mozambique". Heritage of Portuguese Influence. Iliwekwa mnamo 26 November 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)