Kiturumsa ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waturumsa. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiturumsa imehesabiwa kuwa watu watano tu, na inawezekana hao wote walikuwa wameshafariki hadi mwaka wa 2011, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiturumsa iko katika kundi la Kibosavi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiturumsa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.