Kitutuba
Kitutuba ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Watutuba kwenye visiwa vya Tutuba na Santo. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitutuba imehesabiwa kuwa watu 500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitutuba iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitutuba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitutuba Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kitutuba katika Glottolog
- lugha ya Kitutuba kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitutuba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |