Kityap
Kityap (pia Kikatab) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Watyap. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kityap imehesabiwa kuwa watu 130,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kityap iko katika kundi la Plateau.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kityap kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kityap Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kityap katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kcg
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kityap kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |