Kiukaan ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waukaan. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiukaan imehesabiwa kuwa watu 18,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiukaan iko katika kundi la Kibenue-Kongo.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiukaan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.