Kiukpe-Bayobiri ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waukpe na Wabayobiri. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiukpe-Bayobiri imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiukpe-Bayobiri iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiukpe-Bayobiri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.