Kiulukwumi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waulukwumi. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiulukwumi imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiulukwumi iko katika kundi la Kidefoidi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiulukwumi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.